SABABU NANE ZINAZOSABABISHA WATU KUWA NA TABIA YA HASIRA AU KITABIA
SABABU NANE ZINAZOSABABISHA WATU KUWA NA TABIA YA HASIRA AU KUSHINDWA JIDHIBITI KITABIA Hasira ni hisia, kila mwanadamu anazaliwa nayo ila tuna viwango tofauti kutokana na kila mmoja wetu kimaumbile anavyoweza kukabiliana na mazingira yenye vichocheo vya tabia hiyo ya hasira na kujidhibiti mwanadamu wana vichocheo vinaweza kuhisi umedharauliwa, kutotendewa haki, kuvunjiwa heshima au kupuuzwa. Hivi ndiyo vichocheo vikubwa vya tabia hiyo lakini zipo sababu nyingine nyuma ya pazia wengi tusizo zijua. Ambazo nyingine hukaa katika ufahamu wa ndani (Unconscious) na zimekuwa zikiendesha tabia zetu au zikichangia tabia hii na kutufanya haraka hasira kwenda kwenye ghadhabu ni jambo dogo sana. 1.Maumbile ya Ubongo na tabia za kurithi Maumbile ya ubongo wa binadamu mfano kunapokuwa na shida au hitilafu hasa mishipa inayounganisha sehemu za ubongo. Yaani eneo la ubongo linaloitwa “Amygdale” linalohusika na hisia ikiwemo hasira...