Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Gift Mshana

HAYA NDIO MAKUNDI 16 YA WATU NA TABIA ZAO

Picha
MAKUNDI YA WATU NA TABIA ZAO je wewe ni kundi gani? Msingi mkuu wa mgawanyiko huu ni sifa zinazoamua uwezo wa kundi hilo lakini ni lazima kuzingatia uwezo huo huchochewa kutoka ndani kwa mtu mwenyewe au kutokana kwa watu waliomzunguka Wale ambao uchochezi hutokea ndani huitwa Introvets sifa kubwa za Introvets huwa na aibu,wazito kuanzisha mazungumzo(wakimya) na hupenda kufanya vitu kwa kujitenga. 👉👉Wale ambao uchochezi hutokea kwa watu waliowazunguka huitwa Extrovets huwa hawana aibu,rahisi kuanzisha mazungumzo(wachangamfu) na hupenda kufanya kazi kwa pamoja. Kundi la kwanza linabeba aina za watu ambao wana uwezo mkubwa wa kufiri na hutumia uwezo wao huu katika maisha yao ya kila siku pamoja na uwezo wao mkubwa kuimagine vitu na ideas.Member wa kundi hili ni introvets wawili Architects na Logicians pamoja na Extrovets wawili ambao ni Commanders na Debaters 1.Architects 👉👉Ni aina adimu zaidi ya watu wakiwa ni asilimia 0.8 ...