Vichekesho na vituko vya mitandaoni
Vichekesho na vituko mitandaoni
*Hongeren wadada woote ambao mnajitahid kumechisha rangi ya nguo na mikoba yenu kuliko watoto na sura za baba zao*
😀😀😀😀😀😀
..........................................................
*HARMONIZE NI MSANII ANAETOKEA KATIKA KABILA LA WAMAKONDE ANAJIITA "KONDE BOY" SASA NAPATA SHIDA KUJUA KAMA ANGETOKEA KATIKA KABILA LA WASUKUMA ANGEJIITA VIPI?*🙌😹😹😹😹
..........................................................
*Jana nmeota nmenunua gari sa wakat naendesha Si likakwama njian nikashuka nikaanza kulisukuma ile kuamka Si nkajikuta nipo na kitanda jikon😡😡😡😡😡*
..........................................................
*Hakuna siku mbaya kama siku unayopita nje ya kanisa halafu unamsikia mchungaji anasema, "amini nawaambieni nje kuna shetani anapita"* 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏾♂🏃🏾♂🏃🏾♂🏃🏾♂🏃🏾♂🏃🏾♂
..........................................................
*Kama wewe ni mwanamke tangu asubuh hakuna mwanaume yoyote alie kutamkia anakupenda KAMA NI MWANAFUNZI KAZANIA ELIMU SANA NDO MKOMBOZI WA MAISHA YAKO*😆😆😆😆
.......................................................
Kutana Na Muuza samaki Mkorofi na mteja mwenye maswali!
MTEJA= Samaki bei gani?
MUUZAJI= 5000!
MTEJA= Mwisho?
MUUZAJI= Mkiani!
MTEJA= Mbona samaki mwenyewe kalegea hivi?
MUUZAJI= muulize Labda alikuwa shoga baharini!
Mteja= mbona una majibu ya shombo hivi? MUUZAJI= kwasababu nauza samaki, ningekuwa mzibua vyoo ndo ungekoma na majibu yangu ya mavi .
🤣🤣🤣
.......................................................
Jamani ivi Kupoza chai kwa kizungu unasemaje? Niko na mzungu hapa namwambia exchange exchange tea with different cups like shwaaaa... shwaaa... haelewii, nimejaribu kumwambia pfff pfff the tea to remove hotness baadoo... mpaka nimemalizia na switch off the tea. Anantolea macho tu hapaa...😂😂😂😂😂
.......................................................
_*Hata kama nmechoka vipi nikimuona rais wangu anahutubia kwenye tv huwa nnapata nguvu ya kuamka na kuzima tv*_🚶🏿♂🚶🏿♂🚶🏿♂🚶🏿♂🚶🏿♂
.......................................................
_*Mtafaruku ni nini?*_
_*Mtafaruku ni pale wazazi wako wanapokuambia kufanya mapenzi kabla ya ndoa ni dhambi ila ukitazama kwenye picha zao za harusi unajiona*_😄😄😄😝😝😝😆😆😆☝
.......................................................
RATIBA YANGU YA KULA KESHO.
ASUBUHI
nitaenda polisi nile makofi
MCHANA nipite kambin nile mitama
JIONI nile hasara niliopata ikiwezekana nipitea ata kwenu nile matusi😬😬😬😬😬😬
Ndo nimeiwasha bado sijavuta
Napitapita humu MITANDAONI naona marafiki zangu karibiia wote wanaishi mijini... hata wale waliopewa MIMBA sekondari wakaacha shule wakiwa Form 1C wanajinasibu kuwa ni MABIKRA na wameandika WAMESOMA au WANASOMA University of Dar es salam (UDSM)😊😊
Wengine najua kabisa wamesoma VETA degree ya kupanda MAUA ☺☺
Naishiwa nguvu ninapoona kaka mwenye FAMILIA anasisitiza apewe namba ya SIMU na dada aliepost picha amebinua MAKALIO 😩😩
Naamua kuachana nao narudi WHATSAPP nakutana nakutana na text ya bint ananipiga mzinga akanunue GESI na LUKU na hela ya SALUNI,amesahau kwenye Dp ameweka picha ya MWANAUME na status yake "You are my everything" 😠😠
Napigwa na butwaa kisha naingia INSTAGRAM na kukuta timu fulani wanabishana kwenye post eti "Kati ya Zari na Wema nani ana MAKALIO mazuri? " na namuona huyu jamaa ambae namfahamu kabisa ana MKE na WATOTO anamsifia Wema ana makalio mazuri badala ya kumsifia mke wake 😎😎
Narudi zangu FACEBOOK nakuta dada aliepata kazi kwa rushwa ya NGONO ameandika "Ahsante YESU nimepata kazi" 😩😩
Baada ya kusoma post hiyo naamua kuzima DATA tu..!
😎😎
.......................................................
*```Ukichepuka angalau mara moja kila mwezi, kwa mwaka mzima unakua umechepuka mara 12
12÷366= 0.033
0.033×100=3.3%
Yaani kumbe unakua mwaminifu kwa 96.7% ambayo ni grade A```✅
Tuongeze juhudi🤣🤣🤸🏻♂🤸🏻♂🤸🏻♂*
.......................................................
_*Ulaya mtoto wa miaka 15 anamiliki nyumba na magari ya kifahari wala Haleti nyodo lakini Tanzania mtu anamiliki group za whtsp 3 wala halipwi lakini ukikera kidogo tu utasikia dogo chunga sana nitakutoa hum*_ 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
.......................................................
Mama wa kizamani wakiamka wanawasha jiko.
Mama wa siku hizi wakiamka wanawasha Data.
Yote ni maendeleo.
Happy women's day
😍😍😍😍😍
.......................................................
<b> *nilimviziaa amelala fofofoo nkasogeza chupi yake pemben taratibuuuu nami nikatoa boxa yang huwa cpnd kuanika nguo zang kamba moja na za kikee endelea kuwaza ujinga tyuu*
.......................................................
*HII IWAHUSU WANAUME WOTE WENYE HAIBA ZA KIKE KIKE!*
1. _*Mwanaume unaandika*_ *_text/unajibu "k, pw, thx" au unaandika "jomooni, jamoni"_*
*_Happy women's day to you!_*
2. _Mwanaume unapiga selfie umeng'ata lips!_
_Happy women's day to you!_
3. *_Mwanaume unaangalia Nirvana, wanawake live,_* *_telemundo na shilawadu.._*
*_Wewe pia tukutakie Happy_* *_women's day to you!_*
4. _Mwanaume unaoga oga sana kama Dada zako( Mara 3 na +) kwa siku,au unakaa bafuni nusu saa!_
_Happy women's day to you!_
5. *_Mwanaume unajichubua, una dressing table kabisa.. Unajua macream yote ya kimama mama.._*
*_Wewe ni jipu!_*
*_Happy women's day to you!_*
6. _Mwanaume unachat na msela afu unamwita "wangu/my"_
_Tabia za kishogalizing hizi.._
_Happy women's day to you!_
7. *_Mwanaume unagombania siti kwenye daladala halafu mwanamke amesimama,_*
*_Aisee biggest Happy women's day to you!_*
8. _Mwanaume unaogopa mende, panya, Giza, au kulala mwenyewe!_
_Happy women's day to you!_
9. *_Mwanaume hubet, haushabikii soka, wala mieleka, wala ngumi, Hata ukipishana na tetemeko la ardhi hugeuki!_*
*_Wewe ni mwanaume hewa!_*
10. _Kijana wa kiume unaoogopa ..... tarehe 26.4 eti kisa utakufa au utaumia..._
_Happy bustard's day to you!_
11. *_Kijana wa kiume unajiita una akili timamu na unashabikia fisiem.._*
*_Happy women's day to you!_*
12. _Mwanaume uko too submissive kwa mkeo.. Yaan_ _mke ndio anakuamulia cha kufanya..umeshikiwa akili!_
_Unalelewa!_
_Happy women's day to you!_
*fododido ulivyovimba _Happy women's day to you!_*
.......................................................
*Naulizaaa,, Tumbili 🐒🐒zikiwa tatu🐒🐒🐒bado ni tumbili ama ni tutatu?? Hii kitu imenisumbua Jana cjalala!!*😰😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
.......................................................
*Kuna taarifa zinasambazwa kua kumekucha*
*naomba mzipuuze na muendelee kulala*
.......................................................
*nime gundua kwanini wadada wana sherekea birthday kama harusi skuizi, kwa sababu ndoa zime kua bahati nasibu kama mchezo wa biko*🤧🤧🤧🤧mhuni
.......................................................
*My brother ukija kukuta ndizi,tango,na karoti kwenye friji la mwanamke ambae yupo* *single,,usile,,,narudia tena usile,,,*
*Will you thank me later.*😁😁😁😁
.......................................................
Unatembea na dem anasura Kama anataka kupiga chafyaa ,, pua kaa tofalii 😆😆🤝🏻😆😆😆😆😆😆 ndio yalee ya kutangulizanaa tangulia nakujaa 🚶🏻♀🚶🏻♂👈🏼🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
.......................................................
*Looku Looku*👀
*Watoto wakike Akili zao matani mengine hata hawaangaliagi skia hii*😅
*Mtoto*: Baba
kukosa na
kupata
bora nini.
*Baba*: bora
kupata
mwanangu.
*Mtoto*: Basi
nimepata
mimba.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
.......................................................
*Kukutana kwa Uhuru na Raila kumenikumbusha rais wa zamani wa Russia Prasvilodiskyovachfikiz Petrovzilizeviskyvoz.... najua umeliruka jina..sasa naishia hapo story yangu.*
*Sipendi watu wavivu mimi.*
*Montenegro son*
.......................................................
WANAUME NA ENZI ZETU!
Enzi za Mwalimu wanaume tulipewa majina stahiki kama vile
MUME WANGU au BABA WATOTO
Enzi za Mwinyi wanaume tuliitwa MABWANA utasikia mwanamke ana muhadisia mwenzie kapata Bwana.
Enzi za Mkapa wanaume tukaitwa MABUZI
Mwanamke ana msimulia mwenzake nime pata Buzi.
Enzi za Kikwete tukapewa majina mazuri na matamu hata ukisikia unafurahi moyoni,
#Baby, Darling,sweety,Honey na mengine mengi.
Enzi hii ya Magufuli sasa!
Pesa hazionekani wanaume tume vurugwa maisha magumu
Wanatuita WAHENGA
Wanawake wa Bongo Mungu anawaonaaaa.
Wanaume kwa Vile Pesa Ngumu,tuna kauli yetu tunakwambia
Mwanaume MASHINE
Dadeki mta elewaa tuuuh!
*Watu Bwana* 😂😂😂
.......................................................
*jamani wazazi tujifunze kutoka kwa kambare maana wazazi mtoto akiota ndevu tuu wanaona ni mkumbwa aanze kujitegemea ila mtoto wa kambare anaota ndevu tokea tumbonii ila wazaz wake wanaendelea kumtunza tyuuuu.*
.......................................................
.DEMU ANATAKIWA AWE MSHAMBA KIAINA...*
_Sio demu anamjua mpaka Cheki Noris,Anord Shozniga,Michael Dudkoff....huna hata cha kumdanganya?...._
_Inatakiwa ukimuuliza "baby unamjua GOVINDA?" anakujibu "ni yule rafiki yako wa kijijini?"_
_sio demu anajua matimu ya mpira bongo mpaka ulaya,anaijua hadi KASIMPASA ya Uturuki......_
_Demu ukiangalia nae THE WALKING DEAD au WRONG TURN hata hashtuki,amekodoa mi macho tu mwanzo mwisho...._
_inatakiwa akiangalia muvi za kutisha anakukumbatia kumbatia "baby toa bn mi ntaota".....au "au maskin si atamuua sasa"....._
_Sio demu anaangalia picha la MAVAMPAYA anashabikia "bora life,linaki herehere sana!....."_
_Mi napenda demu nikimwambia "Leo Chelsea anacheza na Man U"....yeye aniambie "kumbe kombe la dunia limeanza?".........._
_Sio demu anakutajia mpaka first eleven ya BURNLEY,demu gani huyo!!!??_
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
TOA MAONI YAKO UNAMTAKA DEMU WA AINA GANI?
.......................................................
*Kufanya mapenzi mara baada ya kusamehewa kwa kosa la usaliti si tatizo, tatizo ni pale unapoleta style mpya kwake utasikia, "Huyo Mpumbavu Mwenzio Ndo Amekufundisha Hivi"*😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
.......................................................
*Mke na Mume* *waligombana,* *Mume akalala kitandani na Mke akalala chini, Mume akawa anatikisa* *UUME akisema "TULIA HUONI* *TUMEGOMBANA?*
*Mke akasema* *TULIGOMBANA* *SISI, SIO WAO, acha roho mbaya Mlete acheze na* *mwenzake ila ugomvi wetu uko *pale pale"*
*Eti kweli ugomvi* *utaendelea?*
🤣🤣🤣🤣🤣
.......................................................
*Wanaume wafupi wakimeza mate*
*wanasikia mkojo muda huo huo*
😜🤣🤣🤣🏃♀🏃♀
.......................................................
*Endapo wanawake wangesitisha kufanya mapenzi mpaka dawa ya UKIMWI ipatikane.........Ninauhakika wanaume tungeipata dawa ndani ya siku 30 tuu*
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wanaume tuko siriazi sana sometimes sema basii tu, napita tuu
.......................................................
*Hawa jamaa* *wa bodaboda akikubeba anakuongelesha hata husikii vizuri kwa sababu ya upepo ,sasa unabaki kusema "Eeee,ndio,ndioooo, eeeh"
*Unaweza jikuta umekubali kuolewa hivi hivi*.
*"Nikupeleke ghetooo?*
*Wewe unaitikia tu*
*Eeeeh ndioo, eeh*😂😂😂
...............................................................
Wanaume sisi ni watu peace sana ,unakuta Mvulana kama mimi naitwa Mzee baba👴🏿 nafurahi kinyama😊
Lakini thubutu kumuita Msichana Bibi mama👵🏿uone mitusi yake wanaume damu damu
............................................................
...... *Unapeleka girlfriend wako kijijini kwenu analalamika mboga za kienyeji ni kali sana wakati mkiwa town anakunywa konyagi dray* 😀😀😀😀 *shwaini kabisa*........... 😂
.......................................................
_*Leo kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya LIFTI kusimama...wakati tupo kwenye lift Nilikua nayaangalia MAZIWA yake akasema "Bonyeza Moja" mi si nikalibonyeza? Yaani hadi sasa bado najiuliza nilipokosea.*_😁😁😁
.......................................................
Enzi zetu Daftari ya Mazoezi ukigeuza nyuma lilikuwa na:-
Table hadi 12x12
Kubadili Centigrade Celisius kwenda fahrenheit
Uwiano wa vipimo Kilomita, Hektomita, Decimita, Sentimita n Milimita
Za kizazi kipya sasa! . Daftari zina picha za akina Messi, Ronaldo, John Cena, Undertaker na kila mbwembwe...
Unategemea nn km so darasa zima kwenda KUBETI??
🎼what do you expect🎵!
Elimu ilikuwa enzi zetu bana..... Alaaa
.......................................................
*wadada wengi hawapokei video call ikifika saa 3 usiku.. 😀😀unajua kwa nini? Sura zao zinakuwa zimerudi kwenye factory setting.*
😝😝😝😝😝😝😝😝
.......................................................
*LAANA NI NINI*
*LAANA NI KUTUMIA SIMU 3 MWENYEWE WAKATI MAMA YAKO ANATUMIA SIMU YA JIRANI KUKUBIPU ILI AONGEE NA WEWE VIJANA KUENI MAKINI*
*NILIEMTIBUA AJE GETO NIMELALA*😂😂😂😂😂😂😂
*WE ARE IN CRAZY WORLD*
.......................................................
Unatembea kilometa 10 na begi mgongoni kwenda kazin Unafika pale kazini kwako unagundua kwamba funguo za ofisi umezisahau nyumban Unarudi nyumbani ukiwa na hasira na unaamua kuacha begi mlangoni pa ofisi Unapofika Nyumban unagundua huna funguo za mlango wa Nyumba yako na unakumbuka zipo ndani ya begi uliloacha kwa mlango wa ofisi...
Unaporudi ofisini kuchukua funguo, unaamua kubeba begi lenye funguo unarudi nalo nyumban Ulipotoa funguo za mlango wa nyumba ktk begi ndipo unagundua kwamba funguo za ofisi pia zipo ktk begi.
*hapo ujue kuwa ulidangaya umri ulitakiwa uwe umestaafu*
😀😀😀😀
Safi sana nimeinjoi
JibuFuta