Faida za Tangawizi, kiafya na Tiba.
Mtangawizi jina la kisayansi Zingiber officinale ni mmea wa familia Zingiberaceae katika ngeli ya Monokotiledoni . Mti wa mtangawizi Mizizi yake yanayoitwa tangawizi hutumika kama kiungo katika chakula na unga wake hutumika katika vinywaji na katika chakula pia. Mzizi wa Mtangawizi FAIDA 48 ZA TANGAWIZI 1. Huondoa sumu mwilini haraka sana 2. Huua bakteria wa aina nyingi mwilini hata salmonella ndani ya mwili hata juu ya ngozi 3. Kuna viua vijasumu (antibiotics) vya asili viwili kwenye tangawizi 4. Huondoa uvimbe mwilini 5. Huondoa msongamano mapafuni 6. Tangawizi inayo ‘zingibain’ ambayo huua vimelea mbalimbali vya magonjwa na mayai yake 7. Huondoa maumivu ya koo 8. Huua virusi wa homa 9. Huondoa maumivu mbalimbali mwilini 10. Huondoa homa hata homa ya baridi (chills) 11. Hutibu saratani ya tezi dume. Tangawizi huua ...