NJIA ZA KUZUIA KUKOROMA UNAPOLALA

NJIA ZA KUZUIA KUKOROMA UNAPOLALA

Watu wengi wana tabia ya kukoroma wanapolala, lakini kukoroma siyo kuzuri sana kwani familia yako pengine ishindwe kupata usingizi vizuri kutokana na makelele ulnayoyatengeneza na kwa upande mwingine, kukoroma kunamaanisha kuwa pumzi zako haziko sawa, hata baadhi ya wakati kukoroma kunaweza kusababisha kukosa pumzi na kupelekea kifo. Kwa hivyo, Leo nimewaandalia njia nne za kuuzui tatizi hilo nazo ni

1. kuchagua mito laini na inayoweza kufanya shingo yako iwe vizuri, ambayo itasaidia kupumua unapo lala mitindo isiyoeleweka inachangia mtu kukoroma kwani hewa haipiti vizuri

2.  kutumia mashine ya (humidifier) ili hewa ndani ya chumba iwe ya unyevu na kuepuka koo yako kuwa kavu; ila sina uhakika kwa hapa Tanzania yanapatianane na yanaunwaje

3. kunywa asali kidogo kulainisha koo yako na Kufanya koo lako lisiitoe saut unapo pumua.
usinywe pombe kwani inapandisha shinikizo lako la damu na kuwa juu na kubana koo lako pamoja na kuzuia pumzi.

4. kama tunavyosema kila siku, fanya mazoezi mara kwa mara.katika utafiti ulio fanywa unaonyesha muwa mtu anayefanya mazoezi huweza kulitatua hili na kuweza kuisha kabisa

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

ATHARI 8 ZISABABISHWAZO NA MSONGO WA MAWAZO

HAYA NDIO MAKUNDI 16 YA WATU NA TABIA ZAO

JINSI YA KUPIKA ROST YA NYAMA