Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei, 2020

Faida za Tangawizi, kiafya na Tiba.

Picha
Mtangawizi   jina la kisayansi    Zingiber officinale ni   mmea  wa  familia   Zingiberaceae  katika  ngeli  ya  Monokotiledoni .   Mti wa mtangawizi Mizizi  yake yanayoitwa  tangawizi  hutumika kama  kiungo  katika  chakula  na  unga  wake hutumika katika  vinywaji  na katika chakula pia. Mzizi wa Mtangawizi FAIDA 48 ZA  TANGAWIZI 1. Huondoa sumu mwilini haraka sana 2. Huua bakteria wa aina nyingi mwilini hata salmonella ndani ya mwili hata juu ya ngozi 3. Kuna viua vijasumu (antibiotics) vya asili viwili kwenye tangawizi 4. Huondoa uvimbe mwilini 5. Huondoa msongamano mapafuni 6. Tangawizi inayo ‘zingibain’ ambayo huua vimelea mbalimbali vya magonjwa na mayai yake 7. Huondoa maumivu ya koo 8. Huua virusi wa homa 9. Huondoa maumivu mbalimbali mwilini 10. Huondoa homa hata homa ya baridi (chills) 11. Hutibu saratani ya tezi dume. Tangawizi huua ...